Pages

Friday, February 24, 2017

Pafyumu nzuri za kike na kiume za possess

Ya kime bei ni 103,000 na ya kike bei ni 112,000 kama ukinunua kupitia kwangu. Ukinunua kupitia kwako kama memba (gharama ya kuwa memba ni sh elfu 10) ya 103,000 utanunua kwa bei ya 79,200 na hiyo ya kike ya 112,000 utanunua kwa bei ya sh 86,200.

Zipo na nyingine nyingi za viwango kwa bei tofauti tofauti kama vile love portion, signature na kadhalika.

Mawasiliano kwa biashara ni 0755 200023. Karibu sana.

Hey friends hamjambo?

Hey friends, hamjambo? Samahanini kwa kupotea kwa muda ni computer ilikorofisha ila kwa sasa mambo yamekaa sawa. Asanteni kwa kuendelea kunitembelea hapa hata bila ya mimi kuwepo....penda sana nyie, tuendelee kuwa pamoja.