Pages
▼
Thursday, June 28, 2018
Tunatengeneza mashelfu ya maduka
Wengi wetu tumechukua fursa ya kujiajiri kwa kufungua maduka ya dawa, stationery, nguo, salon, vyakula na mengine mengi, mbalimbali.
Endapo utakuwa na hitaji la kutengenezewa na kuwekewa mashelfu na front desk /kaunta za kiwango basi usisite kuwasiliana na mimi. Kama ninavyosema mara kwa mara kuwa nina jicho la vitu vizuri, hakika hutajuta kunipa nikufanyie kazi yako.
Simu 0755200023 Sinza Shekilango
Mito ya sakafuni na makusheni
Tunatengeneza na kushona makusheni na mito mikubwa ya sakafuni kwa rangi yoyote ya kitambaa cha sofa unayotaka. Tuna vitambaa vya sofa zaidi ya designs 60. Tunakushonea na ukitaka tunakuletea hadi nyumbani. Mito hii mikubwa ya sakafuni ya rangi ya kijivu chepesi ndiyo aliyochagua mteja wangu wa karibuni na aliifurahia kazi yangu.
Mawasiliano 0755200023 Sinza
Tuesday, June 12, 2018
Tunafua mazulia makapeti ya manyoya
Tunafua mazulia carpets za manyoya
Tupo sinza Mugabe
Bei kuanzia 25,000 zulia lako linang'aa kabisa.
Mawasiliano 0755200023