Pages

Tuesday, February 19, 2013

Carpet zikiwa zinapigwa sop sop

Baada ya kufuliwa, kutolewa madoa, kuanikwa na kukauka sasa ni wakati wa kunyonya mchanga. Carpet hizi zina manyoya manene na marefu kwa hivyo uwezekano wa michanga kubakia kwa ndani hata baada ya kufuliwa ni mkubwa so ni lazima kuzi vacuum.

Carpet ziko tayari kwa ajili ya mteja kuchukua. Ni kama kanunua mpya vile. Kweli si kweli..


No comments:

Post a Comment