Pages

Wednesday, March 6, 2013

new and improved me!


ready kwenda kufua maguo na kuosha magari.. hivi can it be new and improved..kidogo hii lugha inanitatiza hapa kwa ajili nadhani new ni new na kama ni improved basi sio new..we unaonaje?

1 comment:

  1. Kitu kinaweza kuwa kipya bila ya kufanyiwa uboresho. Kwa hiyo nafikiri huo msemo unalenga kutilia mkazo kwamba bidhaa fulani ni mpya na ina ubora ikifananishwa na bidhaa iliyokuwa sokoni kabla yake.

    ReplyDelete