Pages

Friday, September 13, 2013

heading to TBC Radio this morning

Friends, majuzi nili blog kuhusu kualikwa kwenye mahojiano na TBC Radio. Mwendesha kipindi cha Unadhifu cha radio hiyo Bi Glorie Ngahyoma alinifahamu kupitia blog yangu hivyo akanialika. Nimekutana naye pamoja na watangazaji wengine na nimevutiwa sana kukutana in person na mtangazaji mkongwe Ndg. Malima Ndelema, nimefurahi sana kwakweli, watangazaji wa TBC Radio ni wakarimu sana.  Ila kwa bahati mbaya wenyeji wangu hawaruhusu kamera, hizi ni picha chache nilizoweza kupiga nikijiandaa kuelekea huko asubuhi hii. Enjoy




nice view



No comments:

Post a Comment