Pages

Tuesday, September 10, 2013

waolewaji na waoaji watarajiwa igeni ubunifu huu

sina shaka kuwa inawezekana kisheria za bongo waoaji na waolewaji watarajiwa kuamua kufungia ndoa kwenye bustani badala ya kwenye nyumba za ibada na ofisi ya serikali.

najua hiyo inawezekana kwani nilishahudhuria harusi ya kiserikali iliyofungwa kwenye viwanja va hoteli moja ufukweni mwa bahari ya Hindi.

kama nawe mtarajiwa utaamua kufungia ndoa yako kwenye bustani basi iga ubunifu huu wa madhabahu (sijui kwa dini nyingine madhabahu wanaitaje) ya ndoa ya kwenye bustani.

No comments:

Post a Comment