Pages

Friday, October 4, 2013

nyumba ya glass

ha ha haaa...nimekutana na nyumba ya glass nikakumbuka ule usemi kuwa usirushe mawe ikiwa unaishi kwenye nyumba ya kioo...kumbe wamo waishio kwenye nyumba ya kioo..tazama uone

sebule ndani ya nyumba ya glass

dining room

eneo la kulala...kama big broo vile..mambo ni peupe


No comments:

Post a Comment