Pages

Tuesday, October 1, 2013

picha zaidi za rock garden

nilitoka kidogo nje ya mji, wakati wa kuchimba dawa nikavutiwa na rock garden hii iliyopo kwenye kituo cha mafuta. wakati napiga picha wacha mlinzi anifukuze akadhania nataka kuchimba ndani ya bustani yao kumbe wala; mwenyewe nafurahia rock garden yenye kisanamu cha ndege kileleni. hapo kileleni wengine huweka maua na wengine huweka maanguko ya maji...pesa yako tu mradi roho ipende..



wao wameotesha tu maua kila mahali

No comments:

Post a Comment