Pages

Saturday, November 9, 2013

house tour

hebu tutembelee nyumba mojawapo ya majuu aka mamtoni aka ughaibuni aka etc etc. nyumba hii ina vyumba vitano vya kulala. twende pamoja kujipatia ideas za muonekano wa nyumba nje na ndani. naamini kuna wakati hata wabongo wanaweza kuwa huru kuonyesha makazi yao kama hivi na muda utakapofika nitakuletea hapa hapa..karibu msomaji
muonekano wa nje

mashallah boda zimekatiwa zikakubali

kwenye ujia. angalia vizulia unavyoweza kutupia kwenye corridor maarufu kama area rugs


bafuni
sebule

bedroom..rangi cream na pink zinaongeza mwanga

bedroom nyingine. wall paper na duvet zinaendana

master bedroom

dining room mmmh..

ofisi ya nyumbani

jiko lenye  kisehemu cha kulia


No comments:

Post a Comment