Pages

Tuesday, December 10, 2013

lime green ni mojawapo ya rangi nzuri za nyumba

watu wengi hawajui ama wanaona aibu kutumia rangi zile ambazo zinang'aa sana ama ziko bold kwenye makazi yao. na pia baadhi ya wenye nyumba sio wabunifu kiasi kwamba akishaoana fulani kapaka rangi nyeupe basi kila mmoja anaiga na hivyo kufanya mtaa mzima kuwa wa nyumba nyeupe. maadam hapa kwetu tuna uhuru wa kuchagua ni rangi gani upake nyumba yako basi ipendezeshe dunia. hapa mimi nimeamua kukumbatia lime green. rangi hii ikitumika na combination kama nyeupe itafanya nyumba yako isimame kileleni--kwa muonekano mzuri! karibu kwenye ulimwengu wa lime green!


1 comment:

  1. Hii rangi my dear inapendeza mno hakika watu tujitahidi kutokuwa waoga ili tujaribu vitu vipya kama kuchanganya rangi hivi kwenye makazi yetu,,, ubarikiwe sana my dear sister.

    ReplyDelete