Pages

Monday, February 17, 2014

house tour: umuhimu wa paving blocks kwenye makazi yetu

dunia 'mzima' imepasisha paving blocks kama njia nambari moja ya kukausha maji fasta nje ya nyumba
maji hapa hayasimami ng'oo. super drainage..

fundi lazima ahakikishe anatafuta slope (ndio maana hizo mbao ziko hapo) kuelekeza maji kunakotakiwa

halafu kushindilia. hicho kimashine cha kushindilia huwa kinakodishwa kwa siku

fundi akichemka slope maji yanabaki yamesimama kati kama hivi. 

No comments:

Post a Comment