Pages

Friday, January 9, 2015

---vitu vizuri---hii nywele hii, kaipata toka kwa mama yake

yani Mungu anavyoumba bwana....wakati mwingine ana kipilipili cha kufa mtu (kumbuka hakuna kosa alilofanya...kakipata toka kwa wazazi wake hivi hivi wala si sawa kulaumu) mwingine anapata kama hivi...

 nywele zake toka kwa mama yake na sio za kununua
 anasema anatumia revlon na inauma hiyoo
 steaming mara mbili kwa mwaka tu eti...watu na bahati zao
sikudanganyi ona...ni zangu na wala  mama hakuchepuka na wale masingasinga waliokuwa wakitengeneza barabara....ha haaaaaa oops

No comments:

Post a Comment