Binafsi nadhani dressing table ina maana zaidi kwa wale wanaoanza maisha ya kujitegemea na wana eneo dogo la chumba au bafu. Mwanamke ukishajikwamua ukawa na kiota chako unaweza kucheza na nyumba yako vyovyote utakavyo na bila pressure, Kwa mfano unaweza kuwa na walk-in closet ambapo mambo yote ya maandalizi kabla hujatoka unafanyia humo, au unaweza weka shelfu za ukutani bafuni na ukaweka vitu vyako vyote ambavyo ungeweka kwenye dressing table. Kwahivyo nionavyo mimi dressing table is so yesterday.
No comments:
Post a Comment