Pages

Sunday, February 15, 2015

PHOTO: Mwanafunzi aliyeongoza matokeo ya kidato cha nne 2014 huyu hapa

Jina lake ni Nyakahu Irene Marunga (mwenye nguo nyekundu). Amesema siri ya yeye kuweza kuwa mwanafunzi bora kidato cha nne nchi nzima ni umakini, mazingira mazuri ya kusomea na msaada wa wazazi. Hongera Irene!

No comments:

Post a Comment