Pages

Monday, February 16, 2015

PICHA: Beckham na watoto wake wakimsapoti Victoria kwenye NY Fashion Week

Hii familia imejitahidi mno ku survive hadi sasa hasa kwa upande wa media wanavyowafuatilia. Kwa picha zaidi bofya read more...

 Kuitwa mama raha, unakosa usingizi wakiwa wadogo lakini mara wanakua wanaanza kukuliwaza.
 Baba na wana
Baba akiipenda familia yake kama hivi hadi raha, at least kwa macho ya hapa...ya behind closed doors hatuyajui.

No comments:

Post a Comment