Pages

Monday, February 9, 2015

Sofa za kisasa 2015 hizi hapa

Kila mwaka kuna design mpya ya sofa na zinatofautiana kati ya mwaka mmoja na mwingine, kwa mfano mwaka jana ilikuwa ni mambo ya L Shape na mwaka huu mambo ni haya. Unakumbuka mwaka wa sofa nusu duara? Baadhi ya trend na feature za mwaka wa nyuma hupotea na nyingine hubaki. Enjoy picha hizi chache..
 sofa nyeupe kwa mito myekundu

mkao wa wengine wanatazama huku na wengine kule
 chunky box shape
kwa wapenda leather kazi kwenu

No comments:

Post a Comment