Pages

Sunday, March 15, 2015

ALIYEWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS, SYLVESTER MARSH AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Stars Sylvester Marsh amefariki dunia jana katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu.
Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi katita timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.
Chanzo: Clouds FM

No comments:

Post a Comment