Pages

Wednesday, March 11, 2015

MIXER ZA JIKONI...UNAZINGATIA NINI KABLA HUJANUNUA..

Hizi mixer za jikoni zipo za maumbo mengi, aina nyingi, bei tofautitofauti na mambo kibao..Kuna ambayo unaweza kununua ikakaa miezi miwili ikaharibika na kuna ambayo inaweza kaa hata miaka mitatu. Pia zipo zilizolala karibia usawa wa sinki kiasi kwamba hata kuosha sufuria kubwa ni shida. Je wewe mdau unatazama nini kabla hujaamua nataka nunua mixer hii?


No comments:

Post a Comment