Pages

Friday, March 6, 2015

PICHA: Albino wazichapa kavukavu wakienda kwa Raisi Kikwete


Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania, Ernest Kimaya (kushoto) akizuiwa asiendelee kugombana na wanachama wake karibu na uzio wa Ikulu waliokuwa wakitaka wote waambatane kwenda kuonana na Rais Jakaya Kikwete kueleza matatizo yao jijini Dar es Salaam jana. Rais Kikwete alitoa mwaliko wa kukutana na viongozi wa chama hicho. Picha na Mwananchi

No comments:

Post a Comment