Pages

Thursday, March 5, 2015

PICHA: Balozi wa Marekani ashambuliwa Korea Kusini

Balozi wa Marekani nchini Korea Kusini ameshambuliwa kwa kisu usoni na pia katika kifundo cha mkono wake na mshambuliaji aliyekuwa akibwata kuhusiana na suala la kugawanywa kwa kipande cha ardhi ya jumuiya yao. Picha kwa hisani ya BBC

No comments:

Post a Comment