Pages

Saturday, March 7, 2015

PICHA: IPE MANENO

Hawa MTO kwa ufukunyuku ni hatareee, according to wao huyo ndio girlfriend mpya wa Bieber, kwangu mimi hii picha kilichonitumbuiza ni jiko tu bhaas..yani utadhani ni la hapahapa hizo kabati za mdf na handle zake!

No comments:

Post a Comment