Pages

Friday, March 6, 2015

PICHA: JIKO HILI HALINA MAKUU

Jiko hili badala na kuwa na makabati ya juu ameweka mistari miwili ya shelfu ndefu ambapo ameweka vile vifaa ambavyo vinatumika kwenye maisha ya kila siku jikoni. Bila shaka atakuwa na kabati la vyombo kwenye dining room yake.

No comments:

Post a Comment