Pages

Saturday, March 7, 2015

PICHA: KITANDA CHA CHUMA CHENYE COMFORTER LA MAUA LILILOENDANA NA WALL PAPER YA MAUA

Kwenye nyumba nyingi, watu siku hizi wanapendelea vitanda vya chuma hasa vile vya watoto (mtoto ni miaka 18 shuka chini kwa TZ)na hasa pale vinavyokuwa ni double decker. Hata showroom nyingi zina vitanda vya chuma kuliko vya mbao. Je sababu ni fashion au mbao haishikiki au uimara?

No comments:

Post a Comment