Pages

Tuesday, March 10, 2015

PICHA: UNADHANI KUNA UBAYA MAMA AKIMPAKA BINTIYE WA MWAKA MMOJA MAKEUP?

Addrienne Bosh mke wa nyota wa mpira wa kikapu wa Marekani Chris Bosh amempaka bintiye kipodozi wakati wa mechi huko Miami na ndipo watu walipo notice na kushindwa kujizuia wakaanza kumbwatukia huko twitter. Wamependeza lakini..

No comments:

Post a Comment