Pages

Friday, March 13, 2015

SNURA AMWAMBIA NUHU MZIWANDA ASIWE ANAINGILIA BIFU ZA WANAWAKE KWANI HAZIMHUSU

Staa wa muziki nchini Tanzania Snura aamua kumpa makavu mchumba wa Shilole Nuhu Mziwanda na kumuonya asiwe anaingilia bifu za wanawake kwani hazimuhusu. Snura alikasirishwa na
kauli za Nuh Mziwanda kusema hawezi kumfikia mchumba wake Shilole labda ashindane na kina Pam Dafa kwasababu shilole kafika mbali kimuziki na hampati hata kidogo. Snura akamuua kumwambia Nuh asiwe anafatilia mambo ya wanawake hayamuhusu. Chanzo Clouds FM

No comments:

Post a Comment