Pages

Sunday, March 8, 2015

UNAPENDELEA KABATI LA VYOMBO LENYE MILANGO HADI CHINI AU LENYE MILANGO NUSU NA CHINI DROO?

Mengi ya makabati ya vyombo yana milango ya vioo kwa ajili ya kuonyesha vyombo vyako vizuri kuliko vyote, wakati kwenye droo kunafaa kuweka vile vyombo
visivyokuwa na mvuto sana ili viwe mbali na jicho..

Kama chumba chako cha dining kina nafasi ya kutosha tengeneza muonekano wa dining room nzuri na ya kuvutia  kwa kuweka kabati la vyombo, linaongeza sehemu ya kuhifadhi vyombo vya ziada.


No comments:

Post a Comment