Pages

Thursday, April 30, 2015

Diamond Platnumz Kuzindua TV yake Kwenye Zari All white Party Mlimani City Kesho


Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.
Pamoja na vitu vingi vitakavyokuwepo siku hiyo mashabiki watashuhudia uzinduzi wa tv hiyo kwa mara ya kwanza ambapo Diamond atataja rasmi jina la tv hiyo. ZARI ALL WHITE PARTY ,performance kutoka kwa @diamondplatnumz akisindikizwa na @shettatz pamoja na @akaworldwide kwa mtonyo wa Tsh 50,000/= na VIP ni Tsh 100,000/= Utakosa visivyotakiwa kukosa kama usipotokea.

CLOUDS

No comments:

Post a Comment