Pages

Sunday, April 26, 2015

Dk Mengi ajibu sababu za kumuoa Klynn

Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao
nimeshawahi kuwa nao. 1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.

4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.


SOMO LA UJUMBE HUU.Kama wewe ni mwanamke na umeolewaTafadhali TAFAKARI NA CHUKUA HATUA ZA HARAKA KUIMARISHA NDOA YAKO
MAELEZO VIJIMAMBO BLOG PICHA BONGO5

No comments:

Post a Comment