Pages

Wednesday, April 29, 2015

Mitandao ya kijamii imekatwa Burundi kwa ajili utawala wa raisi Nkurunzinza umedai ndiyo inayotumika kupanga maandamano ya kumpinga

Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu ya mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre Nkurunziza.

Mamia ya waandamanaji wako barabarani kwenye mji mkuu wa Buruni ,Bujumbura kwa siku ya nne ya ghasia kutokana na uamuzi wa rais kwa kuwania muhula wa tatu.

BBC

No comments:

Post a Comment