Pages

Tuesday, April 14, 2015

Mmh...Utathubutu kupiga selfie na simba namna hii?


Mimi sithubutu kupiga picha na simba hivi.. Hawa simba wako kwenye zoo huko Australia na mtunzaji wao anasema kuwa huwa wanapewa chakula kabla ya wageni kuwa karibu nao. Kwahivyo wanakuwa wameshiba na hawamgusi mtu na eti pia wamepewa training. 

No comments:

Post a Comment