Pages

Wednesday, April 15, 2015

Picha: Kabati la nguo za mtoto wa miaka miwili shuka chini

Hapana shaka kuwa nguo za watoto wa umri wa miaka 2 hadi siku moja ni ndogo ndogo kwahivyo uhifadhi wake unaweza kuwa changamoto. Badala ya kuwa kila saa unasumbuka kutafuta nguo unayotaka kumvalisha mtoto lakini huipati fasta basi design kabati kama hili kwenye picha. Nguo kubwa kubwa utatundika na ndogondogo kama soksi, bibu nk unaweka kwenye droo za chini..

No comments:

Post a Comment