Pages

Tuesday, April 14, 2015

PICHA: Maalim Seif Akiwa Mahakamani Kisutu Hapo Jana

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (katikati) akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam alipohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana.


Ulinzi uliimarishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu na watu waliofika kusikiliza kesi zao walilazimika kukaguliwa kwa vifaa vya kutambua vitu hatari kutokana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwenda kusikiliza kesi ya wafuasi wa CUF. 
MWANANCHI

No comments:

Post a Comment