Pages

Thursday, April 23, 2015

PICHA: Mwanaume Tajiri KULIKO WOTE Afrika, Aliko Dangote Akikagua Sehemu Atakayojenga Bandari Yake Mtwara



KARIBU NYUMBANI PESA!
Falling stock prices and a recent valuation of the Naira might have dented his fortune, causing him to lose roughly $10 billion since last year, but Aliko Dangote is still the richest man in Africa. Hii ni kutoka Forbes 2015

Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote akinyoosha mkono kuangalia eneo la
ufukwe wa Bahari ya Hindi katika Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini, ambapo atajenga bandari yake ya kisasa kwa ajili kusafirisha saruji itakayozalishwa kwenye kiwanda chake kikubwa kinachojengwa katika Kijiji cha Msijute.
MICHUZI

No comments:

Post a Comment