Pages

Friday, April 24, 2015

Shamsa Ford anataka ujue kwamba anaelekea Burundi kwa ajili ya....

shamsafordHallow my people.niko Air port kuelekea nchini BURUNDI kwa ajili ya kufanya movie itayowashilikisha wasanii tofauti from RWANDA,BURUNDI,UGANDA NA MM KUTOKA TANZANIA..Namshukuru Mungu kupata nafasi hii.NAWAHAIDI KUFANYA VIZURI NA KUIWAKILISHA NCHI YANGU VYEMA..NIOMBEENI NIFIKE SALAMA NA KURUDI SALAMA..I LOVE U ALL..

No comments:

Post a Comment