Pages

Sunday, April 12, 2015

ULIMWENGU WA MACELEB:.... Nelly Aingia Matatani kwa Kukutwa na Bangi

Mshindi wa tuzo ya Grammy mwanamuziki Cornell Haynes ama kwa jina maarufu Nelly amekamatwa na shtaka la mihadarati baada ya polisi kusimamisha basi alilokuwa akisafiria mjini Tennessee nchini Marekani.

Alikamatwa kwa kuwa basi hilo halikuwa na
vibandiko halali kabla ya kuchunguzwa kutokana na harufu ya bangi iliokuwa ikinuka.

Idara ya usalama na usalama wa nyumbani baadaye ilisema kuwa Nelly alipelekwa hadi Jela ya kaunti ya Putnam baada ya basi hilo kusimamishwa.

Msanii huyo wa muziki wa kufokafoka alishtakiwa na makosa ya kumiliki bangi kabla ya kuachiliwa kwa dhamana .

Mtu mwingine ambaye pia alikuwa akiabiri basi hilo alikamatwa na kushtakiwa ,mamlaka imesema.
BBC

Na kutoka hollywood life:

Nelly: Rapper Arrested On Drug Charges In Tennessee

The rapper and reality star was arrested on April 11 and is now facing felony drug charges. Police searched his tour bus and found small amounts of marijuana, rocks that tested positive for meth and more, according to a press release.


Nelly’s in big trouble. The 40-year-old rapper was arrested on April 11 in Putnam County, Tennessee after police searched his vehicle and found marijuana, five rocks that tested positive for meth and drug paraphernalia.

No comments:

Post a Comment