Pages

Friday, April 17, 2015

ULIMWENGU WA MACELEB: Saresare maua...Beyonce na Kenya Moore


Haya magauni mawili;  la queen B na la Kenya Moore ambaye ni star wa reality show ya Real Housewives (wa nne toka kushoto) yanakaribiana muonekano..la Beyonce limekaba shingo wakati la Kenya lina shingo ya V na kwa ajili ana matiti makubwa V kwake ni poa zaidi. Nadhani kila mmoja amependeza in her own way...au we unaona kuna aliyependeza zaidi ya mwenzake..?

No comments:

Post a Comment