Pages

Monday, April 20, 2015

Wema ana ujumbe kwenu nyie wote mnaohoji kuhusu miguu yake....je mnataka ajiongezee nyama?

wemasepetuNaomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni Ya Wema Sepetu... na kwakuwa ni yangu basi nita i embrace.. Tuko pamoja eeh... Sasa muache vifimbo vyangu... maana ndo Mungu alonibarikia navyo.... Mchana mwema wajameni...😒😒😒

No comments:

Post a Comment