Pages

Monday, May 11, 2015

KUTOKA KWA MACELEB: Picha ya Beyonce the kid na Beyonce the mother with her mother

Beyonce ametupia picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram ya yeye akiwa mtoto pamoja na mama yake Tina halafu yeye akiwa mama pamoja na binti yake Blue Ivy. Ni katika mambo ya kusheherekea mothers day....Unaonaje, Queen Bey utotoni alifanana sana na binti yake ama laa..

No comments:

Post a Comment