Pages

Thursday, May 21, 2015

PICHA: Kabati la vyombo kwenye dining room ndogo

Hii picha imenasa jicho langu kwa jinsi ambavyo hii dining room ni ndogo lakini mwenyewe kamudu kuweka kabati la vyombo. Nadhani pia kilichomwezesha hapa ni upande liliko dirisha.

Cha kutoka nacho ni kwamba ukubwa wa chumba haujalishi mdau..kinachotakiwa ni mpangilio tu. Kwa hivyo kama una dining ndogo wala usiogope kuweka kabati la vyombo..
photo courtesy: Makers

No comments:

Post a Comment