Pages

Monday, May 4, 2015

PICHA: Mafuriko Zanzibar kutokana na mvua kubwa iliyonyesha leo


Maeneo ya Mpendae na baadhi ya maeneo Zanzibar nyumba zikiwa zimefurika maji kutokana na mvua kubwa zilizonyesha leo.

VIJIMAMBO

No comments:

Post a Comment