Pages

Thursday, May 7, 2015

PICHA: Waziri Mkuu Pinda alipomtembelea Raisi Mstaafu wa Zanzibar NYUMBANI KWAKE

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi .
VIJIMABO

No comments:

Post a Comment