Pages

Saturday, October 31, 2015

----vitu vizuri----VYUNGU VIKUBWA VYA MAUA VYA NDANI YA NYUMBA

Vyungu vya kisasa vya maua kwa ajili ya ndani vimekuwa vyenyewe ni pambo tayari, bila hata maua kuweko nadani yake. Hebu angalia picha
Vipo vyungu vya maumbo urembo na rangi mbalimbali. Chagua kuendana na decorations nyingine zilizopo ndani ya nyumba unayoishi.



1 comment:

  1. hivi vyungu vinapatikana wapi na bei yake?

    ReplyDelete