Pages

Monday, January 4, 2016

PICHA: NYUMBA YA MWANAMUZIKI AFANDE SELE

Hii ni nyumba ya msanii Afande Sele anayojenga huko Morogoro. Hongera sana Afande, mbuyu ulianza kama mchicha. Kama vipi niite nikushauri finishing tuchague maua ya grill, rangi fenicha na kadhalika...ha hahaaaa.

Nawe msomaji wangu nasubiri picha za project inayoendelea nyumbani kwako. Piga/whatsapp 0755 200023

No comments:

Post a Comment