PICHA: Rais mstaafu JK ahani Msiba NYUMBANI kwa marehemu Mkurugenzi wa TAA
Raisi mstaafu JK akihani msiba NYUMBANI kwa aliyekuwa mkurugenzi wa TAA (Tanzania Airports Authority) Mhandisi Suleiman S Suleiman aliyefariki dunia January 18 mwaka huu majira ya asubuhi wakati akifanya mazoezi ya kuogelea bahari ya hindi eneo la magogoni. Alizikwa jioni ya siku hiyohiyo. Mungu ampumzishe pema. CHANZO: kajunason.com
No comments:
Post a Comment