Pages

Tuesday, January 12, 2016

PICHA: Rangi Nzuri za Kupaka Nje ya Nyumba

Hey darling, angalia hizi nyumba 9 uone jinsi combination ya nyeupe inavyoweza kufanya kazi na rangi nyingine kwa ajili ya ukuta wa nje ya nyumba yako. Usijali mjengo kama ghorofa sijui nini just angali combination ya nyeupe na rangi nyingine ilivofanikiwa.
 1
 2
 3
 4
 5
 6
 7
 8
9
Ingekuwa wewe ungechagua namba ipi? Mimi ningechagua namba 3 ambayo ni comnbination ya nyeupe na light bluu kama mawingu vile na namba 7 ambayo ni nyeupe na kijivu. Uamuzi wako nyumba yako ladha yako....mimi nakushauri tuu!

1 comment: