Pages

Saturday, January 16, 2016

PICHA: VIJUMBA VYA MBWA NDANI YA NYUMBA YAKO

Binafsi sipendi mbwa kamwe. Ila kwa wewe unayependa mbwa hasa wale vi cute wa ndani pata ides kwenye picha hizi juu ya vijumba vyake ndani ya nyumba yako wewe mwenye mbwa. 


Kama huna kijumba lakini una mbwa wa ndani basi chukua picha mwambie fundi akutengenezee..

Ila kama unacho tayari nijulishe ili tuelemishe na wengine. Kila kitu tunachoona ni kwamba kuna mtu wa mwanzo ambaye alielemisha wengine. Ukishea ujuzi unajisiskia vizuri..

No comments:

Post a Comment