Pages

Wednesday, January 13, 2016

SALE SALE SALE.....SALE YA UHAKIKA BADO INAENDELEA CLEOPATRA FURNITURE

Kabati la nguo

Kitanda cha mtoto cha muundo wa gari

Kitanda cha wakubwa chenye headboard yenye nakshi za uhakika

Hey friends,
Kwa wale wanaohitaji furniture za quality na maridadi ambao kwao bei sii kigezo basi nawashauri mtembelee Cleoparta Furniture iliyoko Sido barabara ya Nyerere Dar kwa ajili ya sale kubwa inayoendelea pale.

 Ukipenda chochote niambie nikupe namba ya siri upewe discount. Fenicha zote za nyumbani na ofsini na zote ni mbao ngumu zipo pale. 

No comments:

Post a Comment