Pages

Saturday, January 2, 2016

VITU VIZURI.....Furniture za Cleopatra...Furniture for Elites





Hey mpenzi,  fenicha za ukweli zenye maridadi ya kabambe toka Misri sasa zinapatikana. Hizi fenicha mimi naziita ni za elites, maana si mchezo. Ni mbao ngumu japo zimepakwa rangi mbalimbali kwa mfano gold ambapo unaweza usiamini ni mbao. Nyingi ya marembo ambayo naweza sema ni Arabic Style yamechongwa na mikono.

Fenicha za Cleopatra unaweza ukasema ni bei kubwa lakini ukinyambua idadi na ubora utajikuta wewe mteja ndio unafaidi. Kwa mfano kitanda kinauzwa na side tables, dressing table na kabati la nguo. Yaani chumba kizima ndio kinauzwa kwa hivyo usione bei zao mitandaoni ukapanic. 

Kama wewe au mtu unayemjua anahitaji tuwasiliane nikuelekeze uende uchague ukiridhika kuamua kununua nijulishe nikupe namba ya siri ya discount. Karibu sana na hakika hutajutia hela yako. 

Nakupenda ndio maana nakutafutia vitu vizuri. Kwa wanaonijua kwenye personal level na ambao nimeshafanya nao kazi hizi wanajua ni kwa namna gani nilivyo na jicho la accuracy. Kwahivyo ukiona hadi nime recommend kitu/mtu ni kwamba ni cha ukweli na uhakika.

No comments:

Post a Comment