Pages

Wednesday, January 6, 2016

VIVI MACHANGE LIVING (VML):......Viazi vya Kukaanga, Kuku Choma, Salad, Juice, Tukonokono

Mapishi ya celeb wetu muigizaji Esha Buheti ambayo ni viazi vya kukaanga vyenye cheese, kuku wa kuchoma na salad. Mwili unajengwa kwa kula vyakula bora.
Kama huna muda wa kutengeneza juice bila sha ukitembelea hapa mahali utajikuta unapata unayohitaji

Tukonokono vepee?....wenzetu wa mwambao msosi huu wameuzoea.

Nawe mdau usisite kunitumia picha ya mapochopocho unayopika..

No comments:

Post a Comment