Pages

Saturday, January 9, 2016

VMC....Mito ya Ukubwa Unaotaka Pamoja na Utepe wa Kupamba Kitanda Vipo

Huu mto ni saizi kubwa kidogo ya ule wa kulalia. Unafaa kutumika kupambia kitanda baada ya kutandika. Angalia picha inayofuata hapa chini hii mito ya maroon kitandani.
Huu utepe wa kitanda utakaofanana na foronya ya hiyo mito mikubwa nao unapatikana. Ina maana ukishatandika kitanda chako, ukatupia ile  mito miwili ya kulalia, unaongezea hii mingine miwili ya mapambo ambayo foronya zake zitakuwa zinafanana na utepe.


Hizi mbili ni rangi za foronya na utepe. Zipo pia rangi za damu ya mzee na dark blue. Unaniambia unayotaka. Halafu texture ya kitambaa nayo iko laini na rafu. kama hii ni rafu kwakuwa mito na utepe kwa kawaida ni ya mapambo zaidi na si kulalia. Ila kama utataka texture laini ni wewe tu na mapenzi yako.
Moto mingine ya saizi mbalimbali inapatikana kama inavyoonekana hapa chini. Ila foronya zikishaisha zimeisha zinatoka rangi nyingine, na rangi zilizopo sasa ni hizo
nilizokutajia hapo juu.


Mito yangu ina foronya mbilimbili. Kwa mfano hii sio foronya ya nje bali ni ya ndani. na ndani yake ndio kuna mto. Foronya ya nje unachagua rangi unayotaka.

Karibu sana..piga au whatasapp 0755 200023 kwa hoja, dukuduku na oda.

No comments:

Post a Comment